OONI Explorer ni chanzo cha data za wazi za udhibiti wa mtandao duniani kote.
Tangu mwaka 2012, mamilioni ya vipimo vya mtandao vimekusanywa toka nchi zaidi ya 200. OONI Explorer inamulikia udhibiti wa mtandao na namna yoyote ya kuingilia utendaji wa mtandao duniani.
Ili kuchangia katika data hizi za wazi sanikisha OONI Probe kisha fanya vipimo!
Unajifunza nini kutoka katika OONI Explorer?
Zifuatazo ni baadhi ya hadithi zitokanazo na utafiti taarifa za utafiti zitokanazo na data za OONI
Tunasambaza taarifa hizi ili kuonyesha namna data za wazi za OONI zilizopo zinaweza kutumika na aina gani ya hadithi zinapatikana.
Tunakuhamasisha kuchunguza data za OONI, kugundua matukio zaidi ya udhibiti , na kutumia data za OONI kama sehemu ya utafiti wako na/ au uchechemuzi.