Watumiaji wa OONI Probe katika nchi ya Ufalme wa Muungano wamekusanya 77,900,522 vipimo kutoka 706 mitandao ya ndani.

Chunguza data hapo chini kuona upatikanaji na/au kuzuia tovuti na huduma.

Upatikanaji wa vipimo

Grafu hapa chini inaonyesha taarifa ya jumla kuhusiana na vitu vilivyohusisha kipimo cha OONI Probe. Inaonyesha kiasi cha majibu yaliyotokana na kila aina ya kipimo cha OONI Probe, pia idadi ya mitandao iliyohusika katika kipimo.

Kwa kuangalia grafu hii, unaweza ukaelewa kama kuna data za kutosha kuweza kutoa taarifa ya hitimisho inayoeleweka. Kama hakuna data za kutosha na upo katika nchi inayozungumziwa, sakinisha OONI Probe, fanya vipimo, na changia katika data!

Tovuti.
Ujumbe wa papo kwa papo.
Kifaa cha kati
Utendaji
Kukwepa
2024-05-022024-05-092024-05-162024-05-232024-05-30157833156647349631329182736
Taarifa ya utafiti
Bado hatujachapisha taarifa za utafiti kuhusiana na data za OONI kutoka nchi hii Tunakushauri utumie data za OONI katika utafiti wako!

Angalia kama tovuti imezuiliwa.

Njia za kupima: OONI's [Kipimo cha upatikanaji wa tovuti] (https://ooni.org/nettest/web-connectivity/), kimeundwa ili kupima uzuiaji wa DNS, HTTP, na TCP/IP za tovuti.

Tovuti zilizopimwa: Citizen Lab test lists

Kama unataka kuona matokeo ya upimaji wa tovuti mbalimbali, tafadhali changia vipimo katika orodha ya vipimo au pima tovuti unazozitaka kwa kutumia Programu ya simu ya OONI Probe.

Tafadhali zingatia mpaka utakapoletewa kurasa iliyozuiliwa, wakati mwingine kunakuwa na majibu yasiyo sahihi false positives. Kwa hiyo tunakuhamasisha kuchunguza majibu yasiyo ya kawaida kwa kina na kwa muda mrefu.

Makundi yaliyothibitiswa imezuiwa

Loading ...
Inafunguka

Angalia kama programu za ujumbe wa papo kwa papo na vifaa vya kukwepa udhibiti zimezuiliwa.

Matokeo yafuatayo yalipatikana kwa kutumia kipimo cha OONI Probe kilichoundwa kwa ajili ya kupima uzuiaji wa WhatsApp, Facebook Messenger, Telegram na Signal.

Pia tunasambaza matokeo ya upimaji wa vifaa vya kukwepa udhibiti, kama Tor na Psiphon.

Inafunguka
Inafunguka

Simamia kutopatikana kwa mtandao kupitia, tvyanzo vya data vingine.

Grafu zifuatazo zinaonyesha data kutoka kwa wataalamu wa google Mradi wa Internet Outage Detection and Analysis (IODA) , Taarifa za wazi ya Google (usafirishaji wa data wa Google), na Cloudflare Radar.

Kama umegundua kushuka kwa mtandao, hiyo inaweza kuwa kiashiria cha kutopatikana kwa mtandao.

Soma zaidi kuhusiana na kutokuwepo kwa mtandao na matokeo yake kupitia Kampeni ya #KeepItOn.