Watumiaji wa OONI Probe katika nchi ya Jamaika wamekusanya 451,166 vipimo kutoka 13 mitandao ya ndani.
Chunguza data hapo chini kuona upatikanaji na/au kuzuia tovuti na huduma.
Grafu hapa chini inaonyesha taarifa ya jumla kuhusiana na vitu vilivyohusisha kipimo cha OONI Probe. Inaonyesha kiasi cha majibu yaliyotokana na kila aina ya kipimo cha OONI Probe, pia idadi ya mitandao iliyohusika katika kipimo.
Kwa kuangalia grafu hii, unaweza ukaelewa kama kuna data za kutosha kuweza kutoa taarifa ya hitimisho inayoeleweka. Kama hakuna data za kutosha na upo katika nchi inayozungumziwa, sakinisha OONI Probe, fanya vipimo, na changia katika data!
Angalia kama tovuti imezuiliwa.
Njia za kupima: OONI's [Kipimo cha upatikanaji wa tovuti] (https://ooni.org/nettest/web-connectivity/), kimeundwa ili kupima uzuiaji wa DNS, HTTP, na TCP/IP za tovuti.
Tovuti zilizopimwa: Citizen Lab test lists
Kama unataka kuona matokeo ya upimaji wa tovuti mbalimbali, tafadhali changia vipimo katika orodha ya vipimo au pima tovuti unazozitaka kwa kutumia Programu ya simu ya OONI Probe.
Tafadhali zingatia mpaka utakapoletewa kurasa iliyozuiliwa, wakati mwingine kunakuwa na majibu yasiyo sahihi false positives. Kwa hiyo tunakuhamasisha kuchunguza majibu yasiyo ya kawaida kwa kina na kwa muda mrefu.
Angalia kama programu za ujumbe wa papo kwa papo na vifaa vya kukwepa udhibiti zimezuiliwa.
Matokeo yafuatayo yalipatikana kwa kutumia kipimo cha OONI Probe kilichoundwa kwa ajili ya kupima uzuiaji wa WhatsApp, Facebook Messenger, Telegram na Signal.
Pia tunasambaza matokeo ya upimaji wa vifaa vya kukwepa udhibiti, kama Tor na Psiphon.
Simamia kutopatikana kwa mtandao kupitia, tvyanzo vya data vingine.
Grafu zifuatazo zinaonyesha data kutoka kwa wataalamu wa google Mradi wa Internet Outage Detection and Analysis (IODA) , Taarifa za wazi ya Google (usafirishaji wa data wa Google), na Cloudflare Radar.
Kama umegundua kushuka kwa mtandao, hiyo inaweza kuwa kiashiria cha kutopatikana kwa mtandao.
Soma zaidi kuhusiana na kutokuwepo kwa mtandao na matokeo yake kupitia Kampeni ya #KeepItOn.