Takwimu zifuatazo zinaonyesha jumla ya watu waliongalia data zaf OONI zitokanazo na kupima vifaa vifuatavyo vya udhibiti:
Tafadhali zingatia uwepo wa vipimo visivyo sawa siku zote sio kiashiria cha uzuiaji false positives inaweza kutokea. Zaidi, vifaa vya kukwepa udhibiti vina mbinu zilizoundiwa za kukwepa udhibiti.
Kwahiyo tunashauri uzingatie Tor Metrics na katika Psiphon Data Engine kuangalia takwimu zilizotumika na kupata uelewa mkubwa zaidi kama vifaa hivi vinafanya kazi katika kila nchi.